Kimariri

Kimariri ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamariri kwenye kisiwa cha Mariri. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimariri imehesabiwa kuwa watu 280 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimariri iko katika kundi la Kiaru.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search